Mapishi yetu Leo

Jinsi ya Kupika Kisamvu cha Nazi

Jinsi ya Kupika Kisamvu cha Nazi

Serves: watu 5-8

Time: dakika 25

Difficulty: wastani

Habari, leo jikoni tuna kisamvu, kisamvu chetu kitaungwa kwa nazi. Ni mboga nzuri inayoenda vyema kwa wali, ugali na hata mikate. Karibuni tuandae mboga yetu. Pishi: Kisamvu cha Nazi Naam, kisamvu ndo hicho, na sio […]

Tazama pishi

 
mihogo ya kukaanga na chachandu

mihogo ya kukaanga na chachandu

Serves: watu 6-8

Time: dakika 30

Difficulty: rahisi

Karibuni tena jikoni kwetu tuandae vitafunio leo, mihogo ya kukaanga, natumai sikitu kigeni kwetu. Sio siri wakati mwengine tubadili vitafunio, mambo ya kila siku mikate na maandazi vinachosha walaji. Siku nyengine chemsha viazi, siku nyengine […]

Tazama pishi

 
katless za nyama kati

katless za nyama kati

Serves: watu 10

Time: dakika 30-45

Difficulty: wastani

Katless ni miongoni mwa vitafunwa vyenye kuvutia, waweza zipika kwa nyama ya kusaga au hata samaki hupendeza na zina ladha nzuri. Leo katless zetu ni za nyama ndani, haya twende hatua kwa hatua. Katless zetu […]

Tazama pishi

 
Jinsi ya Kupika Vitumbua vya Nyama

Jinsi ya Kupika Vitumbua vya Nyama

Serves: 5-7

Time: dakika 30

Difficulty: rahisi

Leo tena vitumbua, lakini hatutamia unga wa mchele kama tulivyozoea, bali nyama ya kusaga. Ni pishi zuri sana, ukiwa na juisi pembeni, vinapendeza sana kula muda wa jioni, ila waweza kula muda wowote wa nafasi […]

Tazama pishi

 
Jinsi ya kupika visheti

Jinsi ya kupika visheti

Wadau wa jiko letu, leo tuna visheti, visheti ni aina ya kitafunwa, chaweza liwa na kahawa, chai, juisi na hata maji ukihaaliwa. Ila kwa chai na kahawa vinapendeza zaidi. Kuna nmna tofauti tofauti za uandaaji […]

Tazama pishi