Mapishi yetu Leo

Njegere za Nazi

Njegere za Nazi

Walaji: watu 8-10

Muda: dakika 30

Ujuzi: wastani

 

 habari za muda wapenzi wa blogu yetu ya Mapishi. leo tutapika njegere za nazi, njegere zinaweza kupikwa kwa namna tofauti tofauti, unaweza kuzitia kwenye wali, pilau, unaweza kuzipika na nyama na hata kwenye tambi hupendeza. […]

View Recipe

 

Jinsi ya Kupika Kisamvu cha Nazi

Walaji: watu 5-8

Muda: dakika 25

Ujuzi: wastani

 

 Habari, leo jikoni tuna kisamvu, kisamvu chetu kitaungwa kwa nazi. Ni mboga nzuri inayoenda vyema kwa wali, ugali na hata mikate. Karibuni tuandae mboga yetu. Pishi: Kisamvu cha Nazi Naam, kisamvu ndo hicho, na sio […]

View Recipe

 
katless za nyama kati

katless za nyama kati

Walaji: watu 10

Muda: dakika 30-45

Ujuzi: wastani

 

 Katless ni miongoni mwa vitafunwa vyenye kuvutia, waweza zipika kwa nyama ya kusaga au hata samaki hupendeza na zina ladha nzuri. Leo katless zetu ni za nyama ndani, haya twende hatua kwa hatua. Katless zetu […]

View Recipe

 
Jinsi ya Kupika Vitumbua vya Nyama

Jinsi ya Kupika Vitumbua vya Nyama

Walaji: 5-7

Muda: dakika 30

Ujuzi: rahisi

 

  Leo tena vitumbua, lakini hatutamia unga wa mchele kama tulivyozoea, bali nyama ya kusaga. Ni pishi zuri sana, ukiwa na juisi pembeni, vinapendeza sana kula muda wa jioni, ila waweza kula muda wowote wa […]

View Recipe

 
Jinsi ya kupika visheti

Jinsi ya kupika visheti

 

 Wadau wa jiko letu, leo tuna visheti, visheti ni aina ya kitafunwa, chaweza liwa na kahawa, chai, juisi na hata maji ukihaaliwa. Ila kwa chai na kahawa vinapendeza zaidi. Kuna nmna tofauti tofauti za uandaaji […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika wali wa manjano

Walaji: watu 5

Muda: dakika 30

Ujuzi: wastani

 

 Ni mara nyengine tena tukutane katika jiko letu. Leo wali, chakula kilozoeleka mno na watu wengi, lakini wali wetu sisi leo utakua na ladha nzuri zaidi na rangi tofauti, hivyo unavutia mlaji. Sio lazima wali […]

View Recipe

 

Jinsi ya Kupika MKATE WA UFUTA

Walaji: watu 5-10

Muda: saa1

Ujuzi: wastani

 

 Vipi hali zenu wadau wa mambo yetu ya jikoni, Leo tukutane tuandae mkate wa ufuta. ni kitafunwa kizuri sana katika mlo wa asubuhi na hata jioni ukipata na kinywaji cha moto pembeni. Naam, mikate yetu […]

View Recipe

 

Jinsi ya Kupika Katlesi za Samaki

 

 Habarini za muda huu wapenzi wa jinsi ya kupika. Jiweke tayari tuandae pishi letu la leo, katlesi za samaki. Ni miongoni mwa chakula kipendwacho na wengi kutokana na ladha yake. Haya sasa natumai upo tayari […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika kababu za mayai

Walaji: watu wanne

Muda: dakika 30-45

Ujuzi: wastani

 

 Habari wadau wa mapishi. Leo pishi letu ni la kababu za mayai, ni chakula kitamu sana ambacho chaweza kuliwa muda wowote, iwe mchana,asubuhi au hata jioni. chapendeza kusindikizwa na vinywaji baridi, ukijaaliwa kinywaji cha moto […]

View Recipe

 

Jinsi ya Kuandaa Chatne ya Bagia

Walaji: 10-15

Muda: daika 20-30

Ujuzi: rahisi

 

 Za muda ndugu zangu, leo tuandae kitu cha kuchapuzia bajia. Hii ni chatne ya nazi, maarufu na inakupa hamu ya kula bajia zako, ziwe za dengu au zile bajia za kunde ( vikababu) chatne yetu […]

View Recipe