Makala na:Chef Rahma

Zingatia Haya Ubaki Ukiwa na Afya Ndani na Njeya Ramadhani

Zingatia Haya Ubaki Ukiwa na Afya Ndani na Njeya Ramadhani

Ramadhani ni mwezi wa Tisa katika miezi ya kiislam. Ndani ya mwezi huu waumini watiifu wa dini ya kiislam hufunga yaani hujizuia kula, kunywa na kukutana kindoa ┬ákuanzia asubuhi(kabla ya machweo) mpaka jioni(baada ya mawio), […]

Read More

 
Ni yepi Madhara ya Chumvi?

Ni yepi Madhara ya Chumvi?

Habari ndugu yangu,msomaji wa Blogu yeko hii. Leo ninakuletea dondoo kidogo kuhusu Matumizi na madhara ya chumvi. Kwa miaka mingi chumvi imeendelea kuwa kiungo muhimu katika chakula cha binaadamu, ukitaka kujua umuhimu wa chumvi pika […]

Read More

 
Jinsi ya kutengeneza biskuti za Ufuta

Jinsi ya kutengeneza biskuti za Ufuta

Jinsi ya kutengeneza biskuti (biscuit) za ufuta: Nimechagua kupika biskuti hizi kwa sababu kuu mbili. Kwanza ni rahisi sana kutengeneza na hazihitaji viungo vingi (mahitaji yake ni machache), Pili ni tamu sana. Nafikiri na wewe […]

Tazama pishi