Dondoo

Epuka Aina Hizi 6 za Chakula Ndani ya Ramadhani

Epuka Aina Hizi 6 za Chakula Ndani ya Ramadhani

Hayo ni mambo sita ya kuepuka, Kama una jambo la kuongezea au maoni yoyote, andika hapo chini Asante, Pia unaweza kuangalia Ulaji bora ndani ya ramadhani codecanyon

Read More

 
Zingatia Haya Ubaki Ukiwa na Afya Ndani na Njeya Ramadhani

Zingatia Haya Ubaki Ukiwa na Afya Ndani na Njeya Ramadhani

Ramadhani ni mwezi wa Tisa katika miezi ya kiislam. Ndani ya mwezi huu waumini watiifu wa dini ya kiislam hufunga yaani hujizuia kula, kunywa na kukutana kindoa ┬ákuanzia asubuhi(kabla ya machweo) mpaka jioni(baada ya mawio), […]

Read More

 
Vinywaji vya asili

Vinywaji vya asili

habari wapenzi wa jinsi ya kupika, leo tuzungumzie kuhusu vinywaji vya asili,yaani vinywaji vilivyotokana na mimea na wanyama, mfano miwa, madafu, matunda mbalimbali na maziwa pia. Inashauriwa kunywa maji kwa wingi si chini ya glasi […]

Read More

 
Ni yepi Madhara ya Chumvi?

Ni yepi Madhara ya Chumvi?

Habari ndugu yangu,msomaji wa Blogu yeko hii. Leo ninakuletea dondoo kidogo kuhusu Matumizi na madhara ya chumvi. Kwa miaka mingi chumvi imeendelea kuwa kiungo muhimu katika chakula cha binaadamu, ukitaka kujua umuhimu wa chumvi pika […]

Read More