Kitabu cha Mapishi ya Ramadhani

Kitabu cha Mapishi ya Ramadhani

APP: KITABU CHA MAPISHI YA RAMADHANI

JE! UNATAKA KUONGEZEA MAUJUZI YA MAPISHI KATIKA MSIMU HUU WA RAMADHANI?

Jinsiyakupika.com inakuletea ZAWADI KWA WAFUNGAJI- Mapishi ya Ramadhani. Kitabu cha Mapishi Mbalimbali kilichoandaliwa kisasa kukufanya uweze kusoma vizuri zaidi ya mapishi ya futari 30 kupitia simu yako ya mkononi

Kitabu cha Mapishi kilichoandaliwa kidigital kwa futari Daku na vyakula vingine  vingi

 • Kitabu kipya katika mfumo wa ANDROID APP. kinachobadili ukubwa kulingana na saizi ya Simu yako

Asante kwa teknolojia ya Kisasa, tofauti na application zingine, Kitabu hiki utasoma na kufungua kurasa kama unafungua kitabu cha karatasi

Utasoma Mapishi katika Maandishi Makubwa

Maandishi Makubwa ya Maelezo jinsi ya kupika vyakula mbalimbali yatakufanya ujifunze Mapishi ya Ramadhani  kupitia aina yoyote ya simu kwa njia Rahisi.

Baadhi ya Mapishi yaliyomo katika kitabu hiki

 • Viazi nyama, viazi maharage, kuku n.k
 • Futari ya Ndizi
 • Wali wa Karoti
 • Nyama, Samaki n.k
 • Tambi za nyanya, Sukari, n.k
 • Uji wa ulezi, Nazi n.k
 • Juisi ya Karoti, Embe, tango n.k
 • Sharbati ya Maziwa
 • Chai ya Maziwa, viungo n.k
 • Mapishi ya Sambusa
 • Mapishi ya Maandazi
 • Chapati za vitunguu
 • Mkate wa Mayai
 • Mapishi ya vitumbua
 • Vipopoo na Matobosho
 • Na mengineyo mengi..

 

BEI YA KAWAIDA NI TSH 10,000

*OFA**ya RAMADHANI 2018**

NUNUA LEO KWA TSH 4500 TU, (bei inaweza kubadilika muda wowote)

**OFA**

Fuata Hatua Tatu Rahisi na Salama Kupata kitabu hiki

 • Hatua 1: Download App kupitia Play store BOFYA HAPA>> kisha Install
 • Hatua 2: Tuma tsh 4500 TU kwenda 0718 136067 (TIGOPESA TZ) Kisha tutumie ujumbe kwa WHATSAPP kwa kutumia namba hiyo (0718 136067) kutujulisha Malipo yako
 • Hatua 3: Tutakutumia Password kwa ajili ya Kufungulia APP yako

DOWNLOAD HAPA
Mapishi ya Ramadhani

 

 


 
Tags:

One Comment

 1. fatma issa says:

  nimekipenda kitabu chako mpendwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*