Jinsi Ya Kupika Cake Ya Nazi na Mapishi Yake

JINSI YA KUPIKA CAKE YA NAZI

Jinsi ya kupika cake ya nazi na mapishi ya cake ya nazi pamoja na recipe yake pia cake hii ni kizuri sana na unaweza ukashushia na kinywaji chochote.

Ukiwa na maelezo mengine mazuri zaidi ya jinsi ya kupika cake ya nazi unaweza kunitumia ili niweze kuweka kwenye website yetu ya Jinsi Ya Kupika.

Recipes za Jinsi Ya Kupika Cake Ya Nazi

1. Unga ½

2. Kikombe Cha Sukari ½

3. Kikombe Cha mayai ¼

4. Baking powder ½ kijiko cha chai

5. Maziwa kiasi tuu & Tui LA Nazi

6. Vanilla ½ kijiko

JINSI YA KUPIKA KEKI YA NAZI

1. Tia siagi sukari na baking powder piga kutumia mashine(mchapo)mpaka iwe laini

2.Tia mayai na uendelee kupiga

3. Tia unga polepole huku ukiendelea kuupiga ongeza na tui la nazi

4. Tia maziwa na vanilla piga kidogo tumia treya ya vishimo(muffin tray) weka karatasi zake kisha mwaga ule mchanganyiko katika vishimo kiasi kiasi chunga usivijaze sana

5. Choma(bake) katika moto wa 325°c kwa dakika 10-15 mpaka iwe rangi ya uthurungi(brown)

6. Epua Hapo itakuwa Tayari kuliwa

Sisi Jinsi Ya Kupika Tunakuomba Utuandikie Mawazo Yako

Leave a reply