Jinsi Ya Kutengeneza icing Sugar Ya Haraka

JINSI YA KUTENGENEZA ICING SUGAR

Jinsi ya kutengeneza na kuandaa icing sugar ngumu nyumbani icing sugar hii ni nzuri sana na unaweza ukaitumia kulia cake ya aina yoyote.

Ukiwa na maelezo mengine mazuri zaidi ya jinsi ya kutengeneza icing sugar unaweza kunitumia ili niweze kuweka kwenye website yetu ya Jinsi Ya Kupika.

Jinsi Ya Kuandaa icing sugar Nyumbani

1. Sukari nyeupe ¼ kikombe

2. Vanilla vijiko 5 vya chakula

3. Chumvi ¼ kijiko cha chai

4. Maziwa ¼ kikombe

5. Ngano ¼ kikombe

JINSI YA KUTENGENEZA ICING SUGAR

1. Saga unga na sukari katika brander hadi viwe soft kabisaa

2. Chukua maziwa tia katika bakuli, kisha mimina chumvi kidogo na vanilla halafu changanya vizuri

3. Ongeza mchanganyiko wako wa sukari na Unga, baada ya hapo ikiwa umepika cake unaweza tia kwajuu ikiwa ni cake baada ya kutia icing unatakiwa kuweka katika freeza ili igande.

Sisi Jinsi Ya Kupika Tunakuomba Utuandikie Mawazo Yako

Leave a reply