Keki na Biskuti

Jinsi ya kutengeneza biskuti za Ufuta

Walaji: Biskuti 38-45

Muda: Dakika 30

Ujuzi: Wastani

Jinsi ya kutengeneza biskuti (biscuit) za ufuta: Nimechagua kupika biskuti hizi kwa sababu kuu mbili. Kwanza ni rahisi sana kutengeneza na hazihitaji viungo vingi (mahitaji yake ni machache), Pili ni tamu sana. Nafikiri na wewe […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya kupika keki ndogo za rangi

Walaji: Keki 12

Ujuzi: Wastani

Jinsi ya kupika keki ndogo za Rangi na Icing: Zulfa ni Mwanafunzi wa Chuo fulani Jijini Dar es salaam na ni mpenzi mkubwa wa blogu hii. Leo anatuletea pishi la keki fuatana nae… Katika vyakula […]

 

View Recipe