Kitoweo

jinsi ya kukaanga samaki wa masala

Walaji: Walaji 6

Muda: 30-45

Ujuzi: Wastani

Unataka kujua Namna ya Kukaanga Samaki?:Samaki ni miongoni mwa vyakula vyenye protin, ambayo ni muhim katika kujenga mwili. Naam, samaki aweza pikwa kwa ufundi tofautitofauti ili mlaji uweze kufurahia chakula chako, kaanga, mchemshe, mbanike yote […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya kuandaa mishikaki ya kuku

Walaji: Mishikaki 8-12

Muda: dakika 10-15

Ujuzi: Rahisi

Jinsi ya kuandaa Mishikaki ya kuku: Habari za leo wapenzi wa blogu yetu hii. Leo napenda tuandae pamoja pishi hili. Kwa mara ya kwanza Mishikaki ya kuku niliionja nikiwa safarini visiwani Zanzibar, baada ya kurudi […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya Kuandaa Dagaa wa Kukaanga

Walaji: watu 4

Muda: dakika 20-25

Ujuzi: rahisi

habari, leo jikoni tuna dagaa, chanzo kikubwa cha protini, ni kitoweo kizuri kwa afya zetu. Dagaa wabichi waweza wachemsha kupata supu, kuwakausha na hata kukaanga. Sisi leo tunakuja na jinsi ya kukaanga dagaa tayari kwa […]

 

View Recipe

 
Jinsi ya Kuandaa Kuku wa Kujaza

Jinsi ya Kuandaa Kuku wa Kujaza

Author:

Posted: September 2, 2019

Kuku wa Kujaza: Kuku ni moja kati ya kitoweo kipendwacho na wengi, kuku kitoweo, vitumbua, mboga, mchuzi, supu, yote mapishi yake. Leo tunaandaa kuku wa kujaza ambaye kwa jina jengine huitwa kuku wa mahshai. Tunamuandaa […]

 

Read More