Kuhusu Sisi

Hallo,

Karibu katika Blogu yetu hii JINSI YA KUPIKA. Asante kwa kutembelea, Tunajua kwa hakika utafaidika kutokana na Mapishi yote yanayopatikana hapa, Na tuna hakika Umepata kile ulichokua unatafuta kuhusu Namna ya kupika mapishi mbalimbali, kuanzia ya asili ya Tanzania, Africa mashariki na Duniani Kwa ujumla. Jinsiyakupika.com imeanzishwa mahususi Kusaidia wote wenye mapenzi na mapishi kufikia malengo yao hayo, Kwa hiyo Tunakuomba uendelee Kutembelea Blogu yetu hii kwa mapishi mapya kila siku, Pia unaweza kututumia mapishi yako na sisi tutayachapisha hapa katika blogu yenu hii. Tuna furaha Kubwa Kukuhudumia na kushirikiana na wewe.

Ukti Rahma

Jinsi ya kupika dot com