Mboga

Njegere za Nazi

Njegere za Nazi

Walaji: watu 8-10

Muda: dakika 30

Ujuzi: wastani

habari za muda wapenzi wa blogu yetu ya Mapishi. leo tutapika njegere za nazi, njegere zinaweza kupikwa kwa namna tofauti tofauti, unaweza kuzitia kwenye wali, pilau, unaweza kuzipika na nyama na hata kwenye tambi hupendeza. […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya Kupika Kisamvu cha Nazi

Walaji: watu 5-8

Muda: dakika 25

Ujuzi: wastani

Habari, leo jikoni tuna kisamvu, kisamvu chetu kitaungwa kwa nazi. Ni mboga nzuri inayoenda vyema kwa wali, ugali na hata mikate. Karibuni tuandae mboga yetu. Pishi: Kisamvu cha Nazi Naam, kisamvu ndo hicho, na sio […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya Kupika Kunde Mbichi za Nazi

Walaji: 2-4

Muda: 5-15

Ujuzi: Rahisi

Haloo Habari za leo tena, Karibu tupike Kunde mbichi za nazi. Mboga hii tamu ni rahisi kuandaa na ni ya gharama nafuu,lakini ina virutubisho vingi sana. karibu jikoni Pishi: Kunde Mbichi kwa Nazi Dondoo: Pishi […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Bamia na Karanga

Muda: dakika 25-29

Ujuzi: Wastani

Jinsi ya kupika Bamia na Karanga: Umewahi kula ugali kwa bamia? unajua namna ya kuandaa bamia tamu na karanga? Leo nimewaandalia pishi hili la kiswahili la kiasili, Tuwe pamoja Pishi: Bamia na karanga Maandalizi na […]

 

View Recipe

 

jinsi ya kupika nyanya chungu na biringanyi za nazi

Walaji: watu 5-7

Muda: dakika 25-30

Ujuzi: rahisi

Muda huu tukutane katika kuandaa mboga inayoenda sana na ugali. Tuna biringanyi, nyanya chungu na bamia, hizi tutaziunga kwa nazi, zitanogaje! Haya tuandae. Naam mboga yetu leo ikipata ugali wakutosha inakuwa safi zaidi. Ila waweza […]

 

View Recipe

 

jinsi ya kupika kabichi kwa mayai

Walaji: watu 8-10

Muda: dakika 20-25

Ujuzi: wastani

Habari mdau wa jinsi ya kupika. karibuni tena katika jiko letu. Leo tuandae mboga ya kabichi. Mboga hii yaweza kupikwa kwa nyama, njegere, yenyewe tu kwa viungoviungo, na aina tofauti tofauti, lakini sisi leo tuipike […]

 

View Recipe