Mapishi yetu Leo

Jinsi ya Kupika Kunde Mbichi za Nazi

Walaji: 2-4

Muda: 5-15

Ujuzi: Rahisi

 

 Haloo Habari za leo tena, Karibu tupike Kunde mbichi za nazi. Mboga hii tamu ni rahisi kuandaa na ni ya gharama nafuu,lakini ina virutubisho vingi sana. karibu jikoni Pishi: Kunde Mbichi kwa Nazi Dondoo: Pishi […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Mkate wa Mayai

Walaji: 1

Muda: dakika 25-30

Ujuzi: Wastani

 

 Jinsi ya kupika mkate wa mayai: Karibu tupike mkate. Pishi: Mkate wa mayai Maandalizi Utayarishaji na upishi My rating 5 stars:  ????? 1 review(s) Jinsi ya kupika mkate wa mayai: Vidokezo Unaweza kutupia zabibu kavu […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Makande ya nazi

Walaji: Milo 5-7

Muda: Dakika 30-45

Ujuzi: Wastani

 

 Jinsi ya kupika Makande: Habari za leo Mpenzi wa blogu hii ya mapishi, natumai u mzima. Karibu tena katika Mapishi ya kitanzania. Leo nakuja na pishi la mlo maarufu, mlo huu ni mchanganyiko wa mahindi […]

View Recipe

 

Jinsi ya kutengeneza kalimati ya maharage

Muda: 25-30

Ujuzi: Wastani

 

 Jinsi ya kutengeneza Kalimati ya maharage: Maharage yanatumika katika mapishi aina nyingi sana, Leo tutapika kalimati kwa kutumia maharage!. Kaimati hii ni nzuri sana kwani ina maharage yenye protini nyingi. Pishi: jinsi ya kutengeneza Kalimati […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Bamia na Karanga

Muda: dakika 25-29

Ujuzi: Wastani

 

  Jinsi ya kupika Bamia na Karanga: Umewahi kula ugali kwa bamia? unajua namna ya kuandaa bamia tamu na karanga? Leo nimewaandalia pishi hili la kiswahili la kiasili, Tuwe pamoja Pishi: Bamia na karanga Maandalizi […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Ugali

Walaji: 2-3

Muda: dakika 5-10

Ujuzi: Rahisi

 

  Jinsi ya kupika ugali wa mahindi:  Ugali ni chakula kinacholiwa sana Afrika ya Mashariki. Tokea nikiwa mdogo nimekuwa nikitumia chakula hiki hasa nyakati za mchana. Leo nimekutayarishia ugali maarufu, Ugali wa unga wa mahindi. Nimejaribu […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika wali mseto

Walaji: 2-3

Ujuzi: Rahisi

 

 Jinsi ya kupika wali mseto: Mseto ni mchanganyiko mzuri wa mchele na maharagwe. Ni chakula kitamu sana, rahisi kutayarisha na yenye gharama kidogo unayoweza kuimudu popote pale ulipo iwe mjini au kijijini. Kama umechoshwa na […]

View Recipe

 

Jinsi ya kuandaa Kachumbari mchanganyiko

Muda: dakika 5-15

Ujuzi: Wastani

 

 jinsi ya kuandaa Kachumbari mchanganyiko: Habari mpenzi wa blogu yetu, Leo tunakuletea namna ya kuandaa kachumbari mchanganyiko. Fuatana nami Namna ya kuandaa kachumbari mchanganyiko hatua kwa hatua Vilevile waweza kutumia brenda kwa ajili ya kusagia, […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Sambusa za nyama

Ujuzi: WASTANI

 

 Ndugu wapenzi, Leo tunakuja na Jinsi ya kupika Sambusa Za nyama. Sambusa  Hupendwa na wengihasa za nyama. Sambusa ni Tamu sana, wengi hupenda kula pamoja na Juisi, soda na hata chai. Mapishi ya Sambusa Za […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Chapati za Maji

Walaji: 6 - 10

Ujuzi: Wastani

 

  Jinsi ya kupika Chapati za maji: Leo ninakuletea hatua kwa hatua namna ya kuandaa na kupika Chapati laini za Mayai. Tafadhali fuatana nami katika pishi hili. Pishi: Chapati za maji/laini Utangulizi: chapati ni kitafunwa […]

View Recipe