Mapishi yetu Leo

Jinsi ya kupika Sambusa za nyama

Ujuzi: WASTANI

 

 Ndugu wapenzi, Leo tunakuja na Jinsi ya kupika Sambusa Za nyama. Sambusa  Hupendwa na wengihasa za nyama. Sambusa ni Tamu sana, wengi hupenda kula pamoja na Juisi, soda na hata chai. Mapishi ya Sambusa Za […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Chapati za Maji

Walaji: 6 - 10

Ujuzi: Wastani

 

  Jinsi ya kupika Chapati za maji: Leo ninakuletea hatua kwa hatua namna ya kuandaa na kupika Chapati laini za Mayai. Tafadhali fuatana nami katika pishi hili. Pishi: Chapati za maji/laini Utangulizi: chapati ni kitafunwa […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika ndizi nyama za bizari

 

 Unajua kupika Ndizi Nyama? Ndizi ni kati ya chakula cha wanga, ambacho kinakazi muhimu yakuupa mwili nguvu. Ndizi mbichi tunaweza kuzichemsha tu ni kitafunio kizuri, pia tunaweza kuziunga kwa aina tofautitofauti kwa nazi, kwa mafuta […]

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Pilau ya kuku

Walaji: 3-4

Ujuzi: Wastani

 

 jinsi ya kupika pilau ya kuku: Habari za leo wapenzi wa blogu yetu hii ya Mapishi ya kiswahili. Leo tunakuletea pishi la chakula kipendwacho na wengi, Pilau ya kuku. Fuatana nami hatua kwa hatua namna […]

View Recipe

 

jinsi ya kupika nyanya chungu na biringanyi za nazi

Walaji: watu 5-7

Muda: dakika 25-30

Ujuzi: rahisi

 

 Muda huu tukutane katika kuandaa mboga inayoenda sana na ugali. Tuna biringanyi, nyanya chungu na bamia, hizi tutaziunga kwa nazi, zitanogaje! Haya tuandae. Naam mboga yetu leo ikipata ugali wakutosha inakuwa safi zaidi. Ila waweza […]

View Recipe

 

jinsi ya kupika mchuzi wa kababu

Walaji: watu 5

Muda: dakika 30

Ujuzi: wastani

 

 Habari zenu wanajiko letu, leo tuandae mchuzi wa kababu za nyama ya kusaga. Mchuzi huu ni mzuri sana usikose hatua kwa hatua. Unaweza kutumia mchuzi wa kababu pamoja na tambi, wali na hata mikate. Natumai […]

View Recipe

 

jinsi ya kupika kabichi kwa mayai

Walaji: watu 8-10

Muda: dakika 20-25

Ujuzi: wastani

 

 Habari mdau wa jinsi ya kupika. karibuni tena katika jiko letu. Leo tuandae mboga ya kabichi. Mboga hii yaweza kupikwa kwa nyama, njegere, yenyewe tu kwa viungoviungo, na aina tofauti tofauti, lakini sisi leo tuipike […]

View Recipe

 

Mchuzi wa Nyama ya Kusaga

Walaji: watu 5-10

Muda: dakika 25-30

Ujuzi: rahisi

 

 Habari ya leo wadau wa jinsi ya kupika. Karibuni tena jikoni tuandaeandae vitu vizuri, leo ni mchuzi wa kima au mchuzi wa nyama yakusaga. Ni kitoeleo kizuri cha wali, mkate, chapati na hata maandazi. Namna […]

View Recipe

 

jinsi ya kupika donats (dought nuts)

Walaji: watu 10

Muda: dakika 45

Ujuzi: wastani

 

 Jinsi ya kupika Donats: Karibuni tena wadau wa jinsi ya kupika. Leo tuandae donats, hiki ni kitafunwa kipendwacho na wengi. Donats zinapendeza zikisindikizwa na chai, maziwa, kahawa, juisi na hata maji. Haya sogea karibu uweze […]

View Recipe

 

Jinsi ya kutengeneza biskuti za Ufuta

Walaji: Biskuti 38-45

Muda: Dakika 30

Ujuzi: Wastani

 

 Jinsi ya kutengeneza biskuti (biscuit) za ufuta: Nimechagua kupika biskuti hizi kwa sababu kuu mbili. Kwanza ni rahisi sana kutengeneza na hazihitaji viungo vingi (mahitaji yake ni machache), Pili ni tamu sana. Nafikiri na wewe […]

View Recipe