Post Tagged with: "Daku"

Mchuzi wa Nyama ya Kusaga

Mchuzi wa Nyama ya Kusaga

Habari ya leo wadau wa jinsi ya kupika. Karibuni tena jikoni tuandaeandae vitu vizuri, leo ni mchuzi wa kima au mchuzi wa nyama yakusaga. Ni kitoeleo kizuri cha wali, mkate, chapati na hata maandazi. Namna […]

View Recipe

 
Kitabu cha Mapishi ya Ramadhani

Kitabu cha Mapishi ya Ramadhani

APP: KITABU CHA MAPISHI YA RAMADHANI JE! UNATAKA KUONGEZEA MAUJUZI YA MAPISHI KATIKA MSIMU HUU WA RAMADHANI? Jinsiyakupika.com inakuletea ZAWADI KWA WAFUNGAJI- Mapishi ya Ramadhani. Kitabu cha Mapishi Mbalimbali kilichoandaliwa kisasa kukufanya uweze kusoma vizuri […]

View Recipe

 
Zingatia Haya Ubaki Ukiwa na Afya Ndani na Njeya Ramadhani

Zingatia Haya Ubaki Ukiwa na Afya Ndani na Njeya Ramadhani

Ramadhani ni mwezi wa Tisa katika miezi ya kiislam. Ndani ya mwezi huu waumini watiifu wa dini ya kiislam hufunga yaani hujizuia kula, kunywa na kukutana kindoa ┬ákuanzia asubuhi(kabla ya machweo) mpaka jioni(baada ya mawio), […]

Read More