Vinywaji

Jinsi ya kupika uji wa viazi vitamu

Walaji: 1-3

Muda: dakika 25-30

Ujuzi: Rahisi

Jinsi ya kupika uji wa viazi vitamu: Shukurani nyingi kwa Mama Salmin mpenzi wa blogu hii kwa kututumia pishi hili. Je unajua kuwa waweza pika uji mtamu kwa kutumia viazi? fuatilia… Pishi: Uji wa Viazi […]

 

View Recipe

 

Chai ya maziwa na Viungo

Walaji: 4-5

Muda: dakika 3-5

Ujuzi: Rahisi

Jinsi ya kupika Chai ya maziwa na viungo: Asubuhi na mapema? je ni siku ya mapumziko kwako? watu wengi hasa Wanaume wamezoea kununua chai magengeni, unaweza kuandaa chai mwenyewe ndani ya muda mfupi tu.  Chakula […]

 

View Recipe