Chai ya maziwa na Viungo

Jinsi ya kupika Chai ya maziwa na viungo: Asubuhi na mapema? je ni siku ya mapumziko kwako? watu wengi hasa Wanaume wamezoea kununua chai magengeni, unaweza kuandaa chai mwenyewe ndani ya muda mfupi tu.  Chakula cha kuandaa mwenyewe kina raha yake bwana.

Pishi: Chai tamu ya maziwa

Maandalizi na Mahitaji

Mahitaji

 • Maziwa lita 1
 • Majani ya chai kiasi (kijiko 1 cha chai au 1 teabag)
 • Hiliki/ vanilla kiasi
 • Mdalasini kiasi
 • Tangawizi kavu kiasi
 • Karafuu 1

jinsi ya kupika

jinsi ya kuandaa chai ya mziwa hatua kwa hatua

 1. Weka maziwa juu ya moto, yakichemka tia majani
 2. Halafu endelea kutia hiliki, mdalasni, tangawizi na karafuu huku unakoroga kwa dakika 2-3
 3. Epua, chuja wakati unamimina kwenye chupa ya chai au chombo chochote kisafi

My rating 4 stars:  ????? 1 review(s)

Chai ya Maziwa: Dondoo
Waweza kutumia kiungo chochote kimoja na kikawa chai hii.
Hebu jaribu kupika chai ya maziwa na viungo, kisha utueleze kwa kutoa maoni yako hapo chini. Asante

 
 

No Comments

 1. SALMA says:

  chai simple but delicious, thanks

   
 2. Muafrica Sajani says:

  Mimi napenda sana Chai ya maziwa, asante chef

   
 3. stella bukuku says:

  NMEELEWA VANILA NAWEKA MDA GANI/ MA

   
 4. kelvinnoah says:

  good

   
 5. spacious invisible says:

  Tangawizi ya inaweza faa kwa chai ya maziwa?

   

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*