vitafunwa

katless za nyama kati

katless za nyama kati

Walaji: watu 10

Muda: dakika 30-45

Ujuzi: wastani

Katless ni miongoni mwa vitafunwa vyenye kuvutia, waweza zipika kwa nyama ya kusaga au hata samaki hupendeza na zina ladha nzuri. Leo katless zetu ni za nyama ndani, haya twende hatua kwa hatua. Katless zetu […]

 

View Recipe

 
Jinsi ya Kupika Vitumbua vya Nyama

Jinsi ya Kupika Vitumbua vya Nyama

Walaji: 5-7

Muda: dakika 30

Ujuzi: rahisi

Leo tena vitumbua, lakini hatutamia unga wa mchele kama tulivyozoea, bali nyama ya kusaga. Ni pishi zuri sana, ukiwa na juisi pembeni, vinapendeza sana kula muda wa jioni, ila waweza kula muda wowote wa nafasi […]

 

View Recipe

 
Jinsi ya kupika visheti

Jinsi ya kupika visheti

Wadau wa jiko letu, leo tuna visheti, visheti ni aina ya kitafunwa, chaweza liwa na kahawa, chai, juisi na hata maji ukihaaliwa. Ila kwa chai na kahawa vinapendeza zaidi. Kuna nmna tofauti tofauti za uandaaji […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya Kupika MKATE WA UFUTA

Walaji: watu 5-10

Muda: saa1

Ujuzi: wastani

Vipi hali zenu wadau wa mambo yetu ya jikoni, Leo tukutane tuandae mkate wa ufuta. ni kitafunwa kizuri sana katika mlo wa asubuhi na hata jioni ukipata na kinywaji cha moto pembeni. Naam, mikate yetu […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya Kupika Katlesi za Samaki

Habarini za muda huu wapenzi wa jinsi ya kupika. Jiweke tayari tuandae pishi letu la leo, katlesi za samaki. Ni miongoni mwa chakula kipendwacho na wengi kutokana na ladha yake. Haya sasa natumai upo tayari […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya kupika kababu za mayai

Walaji: watu wanne

Muda: dakika 30-45

Ujuzi: wastani

Habari wadau wa mapishi. Leo pishi letu ni la kababu za mayai, ni chakula kitamu sana ambacho chaweza kuliwa muda wowote, iwe mchana,asubuhi au hata jioni. chapendeza kusindikizwa na vinywaji baridi, ukijaaliwa kinywaji cha moto […]

 

View Recipe

 

jinsi ya kupika vitumbua

Walaji: watu 20-25

Muda: masaa mawili-matatu

Ujuzi: wastani

Habarini wadau wa mapishi, leo nimewaandalia jinsi ya kupika vitumbua. Hiki ni kitafunwa kinachopendelewa sana kwa chai. unga utokanao na mchele ndio unaotumika. Pishi: Vitumbua vitumbua hivi vinaweza kuliwa na chai, maziwa, uji na hata […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Mkate wa Mayai

Walaji: 1

Muda: dakika 25-30

Ujuzi: Wastani

Jinsi ya kupika mkate wa mayai: Karibu tupike mkate. Pishi: Mkate wa mayai Maandalizi Utayarishaji na upishi My rating 5 stars:  ????? 1 review(s) Jinsi ya kupika mkate wa mayai: Vidokezo Unaweza kutupia zabibu kavu […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya kutengeneza kalimati ya maharage

Muda: 25-30

Ujuzi: Wastani

Jinsi ya kutengeneza Kalimati ya maharage: Maharage yanatumika katika mapishi aina nyingi sana, Leo tutapika kalimati kwa kutumia maharage!. Kaimati hii ni nzuri sana kwani ina maharage yenye protini nyingi. Pishi: jinsi ya kutengeneza Kalimati […]

 

View Recipe

 

Jinsi ya kupika Sambusa za nyama

Ujuzi: WASTANI

Ndugu wapenzi, Leo tunakuja na Jinsi ya kupika Sambusa Za nyama. Sambusa  Hupendwa na wengihasa za nyama. Sambusa ni Tamu sana, wengi hupenda kula pamoja na Juisi, soda na hata chai. Mapishi ya Sambusa Za […]

 

View Recipe